Shirika la Compassion Tanzania limejipambanua kuwa miongoni mwa mashirika Kutoa elimu juu ya madhara ya ukatili na ukeketaji from ukeketaji Watch Video
Preview(s): Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Ukatili na Ukeketaji kwa wasichana wilayani Tarime Mkoani Mara ni chanzo kingine cha ukatili unaowaacha wasichana wakiwa na Maumivu makali sehemu za siri na hivyo kuwapa usumbufu unapofika wakati wa kujifungua.